Mtibwa sugar Vs Azam fc results
FT: Uwanja wa Manungu Ligi Kuu Bara Mzunguko wa pili Mtibwa Sugar 0-2 Azam FC. Feisal Salum goal dakika ya 20 Gibril Sillah goal dakika ya 65. Mtibwa Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu, Zuber Katwila inapambana kupata pointi tatu kujinusuru hatari ya kushuka daraja. Inapambana na Azam FC ambayo inasaka nafasi ya pili kufanikisha malengo ya kutwaa taji la Ligi
Continue reading